Date: 
31-08-2018
Reading: 
Proverbs 3:27-30 (Methali 3:27-30)

FRIDAY 31ST AUGUST 2018 MORNING                                     

Proverbs 3:27-30 New International Version (NIV)

27 Do not withhold good from those to whom it is due,
    when it is in your power to act.
28 Do not say to your neighbor,
    “Come back tomorrow and I’ll give it to you”—
    when you already have it with you.
29 Do not plot harm against your neighbor,
    who lives trustfully near you.
30 Do not accuse anyone for no reason—
    when they have done you no harm.

This week we have been thinking about our neighbours. They might be people who live near us or anyone who needs our help. Notice the advice given in the above verses. Let us try to do good to those we meet in our daily lives. Remember  that Jesus said whatever we do for someone else we doing it for Him. Pray that God would show you how to show your love for Him in this way today.   

IJUMAA  TAREHE 31 AGOSTI 2018 ASUBUHI                         

MITHALI 3:27-30

27 Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, Ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda. 
28 Usimwambie jirani yako, Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa; Nawe unacho kitu kile karibu nawe. 
29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama. 
30 Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote. 
  

Wiki hii tumetafakari kuhusu jirani zetu. Majirani wanawezakuwa watu ambao tunaishi karibu nao au wanaweza kuwa watu wanahitaji msaada wetu. Angalia jinsi mistari hapo juu inatueleza jinsi ya kuwatendea watu mema.  Kumbuka pia kwamba Yesu anasema yoyote tunayomtendea mtu mwingine ni kama tunamtendea Yesu mwenyewe. Mwombe Mungu akuwezeshe kuwatendea watu wema leo.