Date: 
29-06-2017
Reading: 
Proverbs 3:1-5 NIV {Methali 3:1-5}

THURSDAY 29TH JUNE 2017 MORNING                                 

Proverbs 3:1-5  New International Version (NIV)

Wisdom Bestows Well-Being

My son, do not forget my teaching,
    but keep my commands in your heart,
for they will prolong your life many years
    and bring you peace and prosperity.

Let love and faithfulness never leave you;
    bind them around your neck,
    write them on the tablet of your heart.
Then you will win favor and a good name
    in the sight of God and man.

Trust in the Lord with all your heart
    and lean not on your own understanding;

The Book of Proverbs is full of good advice as to how to live our lives. It is good to listen to the advice of wise people.

We should ask God to guide us in life and show us what is pleasing to Him.

When we study God’s Word and spend time in prayer daily and also meet regularly in worship with God’s people we will learn about God’s will for our lives.  

ALHAMISI TAREHE 29 JUNI 2017 ASUBUHI                     

MITHALI 3:1-5

1 Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. 
Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani. 
Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. 
Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu. 
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

Kitabu cha Mithali kina utajiri wa ushauri kuhusu jinsi ya kuishi. Ni nyema kusikiliza ushauri wa wazazi na watu wenye hekima. Lakini zaidi ni muhimu kutafuta kuongozwa na Mungu katika kila kitu.

Jitahidi kusoma Neno la Mungu na kuomba kila siku. Pia usiache kusali na Wakristo wenzako.