Date: 
25-02-2020
Reading: 
Proverbs 21:1-7 (Mithali 21:1-7)

TUESDAY 25TH FEBRUARY 2020  MORNING                                                

Proverbs 21:1-7 New International Version (NIV)

1In the Lord’s hand the king’s heart is a stream of water
    that he channels toward all who please him.

A person may think their own ways are right,
    but the Lord weighs the heart.

To do what is right and just
    is more acceptable to the Lord than sacrifice.

Haughty eyes and a proud heart—
    the unplowed field of the wicked—produce sin.

The plans of the diligent lead to profit
    as surely as haste leads to poverty.

A fortune made by a lying tongue
    is a fleeting vapor and a deadly snare.[a]

The violence of the wicked will drag them away,
    for they refuse to do what is right.

The Lord controls our minds as easily as he directs the stream of water. Let us remember that the Lord judges our motives.  We have to do what is right and fair; that pleases the Lord more than bringing him sacrifices. 


JUMANNE TAREHE 25 FEBRUARI 2020  ASUBUHI                                   

MITHALI 21:1-7

1 Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa Bwana; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo.
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huipima mioyo.
Kutenda haki na hukumu Humpendeza Bwana kuliko kutoa sadaka.
Macho yenye kiburi, na moyo wa kutakabari, Hata ukulima wa waovu, ni dhambi.
Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu; Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji.
Kupata akiba ya mali kwa ulimi wa uongo Ni moshi upeperushwao; ni kutafuta mauti.
Jeuri ya wabaya itawaondolea mbali; Kwa sababu wamekataa kutenda hukumu.

Mungu anaongoza mioyo yetu kama aongozavyo mifereji ya maji. Imetupasa kukumbuka kuwa Bwana huipima mioyo yetu. Imetupasa kutenda yaliyo mema na ya haki; yanayompendeza yeye, kuliko kumtolea dhabihu.