Date: 
13-07-2017
Reading: 
PROVERBS 17:23 NIV {MITHALI 17:23}

THURSDAY 13TH JULY 2017 MORNING                                      

Proverbs 17:23 New International Version (NIV)

23 The wicked accept bribes in secret
    to pervert the course of justice.

 

Bribery is still a big problem in Tanzania today. It is not a new problem. Even thousands of years ago King Solomon wrote about bribes.  Resist this evil. Decide never to give or receive bribes. We all need to make an effort to overcome bribery.  May God help us all to be faithful in all our words and actions. May we all fulfill our responsibilities and be concerned for the needs of others and not just for our own interests.

ALHAMISI TAREHE 13 JULAI 2017 ASUBUHI                          

MITHALI 17:23

23 Asiye haki hutoa rushwa kifuani, Ili kuzipotosha njia za hukumu. 
 

Rushwa bado ni shida sana hapa Tanzania na katika nchi mbalimbali.  Si shida mbaya. Mfalme Sulemaini aliandika maneno kuhusu rushwa miaka maelfu iliyopita lakini bado shida ipo. Kataa kabisa kutoa au kupokea rushwa. Omba Mungu tupate Tanzania bila rushwa, nchi ambayo haki inatendeka na maskini wanapewa haki na huduma ipasavyo.

Tuombe Mungu sisi sote tujali wanyonge na tufanye kazi zetu kwa uaminifu na bidii.