Date: 
25-08-2018
Reading: 
Proverbs 10:31-32 (Mithali 10:31-32)

SATURDAY  25TH AUGUST 2018 MORNING                       

Proverbs 10:31-32 New International Version (NIV)

31 From the mouth of the righteous comes the fruit of wisdom,
    but a perverse tongue will be silenced.

32 The lips of the righteous know what finds favor,
    but the mouth of the wicked only what is perverse.

In these two verses we read a contrast between the righteous  person and the wicked person. In these verses speech is highlighted.  This week we have been thinking about the use of our tongues and mouths in speech.

Ask God to help you always to speak wise and helpful words.

JUMAMOSI TAREHE 25 AGOSTI 2018 ASUBUHI                   

MITHALI 10:31-32

31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali. 
32 Midomo ya mwenye haki huyajua yatakayokubaliwa; Bali kinywa chao wasio haki hunena ukaidi.

Katika mistari hii miwili maneno ya mtu mwenye haki na mtu wasio haki yanatoufautishwa. Wiki hii nzima tumetafakari kuhusu matumizi ya midomo na ndimi zetu katika kutamka maneno. Mungu atusiaidie maneno yetu yawe ya busara na baraka wakati wowote.