Date: 
02-09-2020
Reading: 
Proverbs 10:11-13 (Methali 10:11-13)

WEDNESDAY 2ND SEPTEMBER 2020  MORNING                                  

Proverbs 10:11-13 New International Version (NIV)

11 The mouth of the righteous is a fountain of life,
    but the mouth of the wicked conceals violence.

12 Hatred stirs up conflict,
    but love covers over all wrongs.

13 Wisdom is found on the lips of the discerning,
    but a rod is for the back of one who has no sense.

 

A righteous man or woman speaks life-giving words, most often to others and sometimes to one’s self.

The Lord is the source of this fountain which then springs up in the wise man as wise speech, wise laws, the fear of the Lord, and understanding.


JUMATANO TAREHE 2 SEPTEMBA 2020  ASUBUHI                             

MITHALI 10:11-13

11 Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,
12 Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.
13 Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.

Mtu mwenye haki hunena maneno yenye uzima, mara nyingi kwa watu wengine na wakati mwingine kwake mwenyewe.

Bwana ndiye asili ya chemichemi hii ambayo huonekana kwa mwenye hekima kama maneno ya hekima, mashauri ya hekima, kumcha Bwana, na ufahamu.