Date: 
28-11-2016
Reading: 
Mon 28th Nov, Matthew 22:41-46 (NIV)

MONDAY 28TH NOVEMBER 2016                                  

Matthew 22:41-46     (NIV)

Whose Son Is the Messiah?

41 While the Pharisees were gathered together, Jesus asked them,42 “What do you think about the Messiah? Whose son is he?”

“The son of David,” they replied.

43 He said to them, “How is it then that David, speaking by the Spirit, calls him ‘Lord’? For he says,

44 “‘The Lord said to my Lord:
    “Sit at my right hand
until I put your enemies

    under your feet.”’[a]

45 If then David calls him ‘Lord,’ how can he be his son?” 46 No one could say a word in reply, and from that day on no one dared to ask him any more questions.

Footnotes:

  1. Matthew 22:44 Psalm 110:1

The Jewish Holy Scriptures (our Old Testament) prophecy the coming of the Messiah. However The Pharisees would not accept that Jesus is the Messiah and God’s Son.  They always opposed Jesus and looked for ways to trap and discredit Jesus and His teachings.

What about you? What do you truly think about Jesus and His teachings? Is He your Lord and Saviour?

 

JUMATATU  TAREHE  28  NOVEMBA 2016                            

MATHAYO 22:41-46

41 Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo? 
42 Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi. 
43 Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema, 
44 Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako? 
45 Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe? 
46 Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu ye yote tangu siku ile kumwuliza neno tena.

Maandiko matakatifu ya Kiyahudi ambayo sisi Wakristo tunaita Agano la Kale, yanashuhudia ujio wa Masihi. Lakini Mafarisayo, viongozi wa Dini wa Kiyahudi, hawakukubali kwamba Yesu Kristo ni Masihi. Kila Wakati Mafarisayo walimpinga  Yesu na Mafundisho yake.

Wewe Je! Unamwonaje Yesu Kristo? Ni Bwana na Mwokozi wako?