Jumapili tarehe 19/10/2014, Kwaya ya upendo ilifanya ziara ya kumtembelea Chaplain Mzinga nyumbani kwake, kumjulia hali baada ya kurejea toka safari ya matibabu India. Mambo yalikua kama hivi:-

visit chaplain 01

Mlezi wa kwaya, Joyce Kasyanju akiwakilisha Ua na Kadi kwa Mama Mzinga niaba ya kwaya.

visit chaplain 02

Mama Shekidele, mzee wa usharika naye alikuwepo

visit chaplain 04

Mwalimu wa kwaya akiwakilisha zawadi ya Tunda kwa Mama Mzinga, ambaye pia ni mwanakwaya.

visit chaplain 05

visit chaplain 06

Mzee Minja alitoa neno la shukrani akiwatia moyo Mama na Chaplain

visit chaplain 07

visit chaplain 08

visit chaplain 10

________________________________________________________________

Baada ya Zawadi, Mama Apaaisaria Kilewo alifanya sala kumwombea Chaplain na familia yake, na kwaya. Ilifuatiwa na viburudisho ilivyoandaliwa na Mama Mzinga.