Date: 
06-06-2018
Reading: 
Matthew 5:27-32 (Matayo 5:27-32)

WEDNESDAY 6TH JUNE 2018, MORNING

Matthew 5:27-32 New International Version (NIV)

Adultery

27 “You have heard that it was said, ‘You shall not commit adultery.’[a] 28 But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart. 29 If your right eye causes you to stumble, gouge it out and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to be thrown into hell. 30 And if your right hand causes you to stumble, cut it off and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to go into hell.

Divorce

31 “It has been said, ‘Anyone who divorces his wife must give her a certificate of divorce.’[b] 32 But I tell you that anyone who divorces his wife, except for sexual immorality, makes her the victim of adultery, and anyone who marries a divorced woman commits adultery.

Footnotes:

  1. Matthew 5:27 Exodus 20:14
  2. Matthew 5:31 Deut. 24:1

Your heart determines your actions. For whatever manifests in the physical has its beginning in the hearts of people. Let's fill our hearts with the word of God and prayer, so we may overcome evil.

 

 

 

JUMATANO TAREHE 6 JUNI 2018, ASUBUHI

Matayo 5:27-32 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Mafundisho Kuhusu Uzinzi

27 “Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, ‘Usi zini’. 28 Lakini mimi nawaambia: ye yote atakayemwangalia mwa namke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kulia likikufanya utende dhambi, ling’oe ulitu pilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena. 30 Na kama mkono wako wa kuume ukiku fanya utende dhambi, ukate uutupilie mbali. Ni afadhali upoteze sehemu ya mwili wako kuliko mwili mzima utupwe Jehena.

31 “Pia mliambiwa kwamba, ‘Mtu ye yote anayemwacha mkewe ampe talaka.’ 32 Lakini mimi nawaambia, ye yote atakayempa mkewe talaka isipokuwa kwa kosa la uasherati, anamfanya mkewe mzinzi. Na ye yote atakayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anazini.”

Moyo wako huamua matendo yako. Kwa chochote kinacho onekana katika mwili, kinaanza ndani ya mioyo ya watu. Hebu tujaze mioyo yetu kwa neno la Mungu na sala, ili tuweze kuishinda uovu.