Date: 
06-03-2019
Reading: 
Mathew 9:7-17

Matthew 9:9-17 New International Version (NIV)

The Calling of Matthew

As Jesus went on from there, he saw a man named Matthew sitting at the tax collector’s booth. “Follow me,” he told him, and Matthew got up and followed him.

10 While Jesus was having dinner at Matthew’s house, many tax collectors and sinners came and ate with him and his disciples. 11 When the Pharisees saw this, they asked his disciples, “Why does your teacher eat with tax collectors and sinners?”

12 On hearing this, Jesus said, “It is not the healthy who need a doctor, but the sick. 13 But go and learn what this means: ‘I desire mercy, not sacrifice.’[a] For I have not come to call the righteous, but sinners.”

Jesus Questioned About Fasting

14 Then John’s disciples came and asked him, “How is it that we and the Pharisees fast often, but your disciples do not fast?”

15 Jesus answered, “How can the guests of the bridegroom mourn while he is with them? The time will come when the bridegroom will be taken from them; then they will fast.

16 “No one sews a patch of unshrunk cloth on an old garment, for the patch will pull away from the garment, making the tear worse. 17 Neither do people pour new wine into old wineskins. If they do, the skins will burst; the wine will run out and the wineskins will be ruined. No, they pour new wine into new wineskins, and both are preserved.”

Footnotes:

  1. Matthew 9:13 Hosea 6:6

Today is ash Wednesday, the beginning of lent. We are reminded in today's passage that Jesus came to save sinners, you and me. Let's join with other Christians all over the world in worship service to begin this period of Lent together. Welcome to Azaniafront to worship from 5:00pm today.

JUMATANO TAREHE 6 MACHI 2019

MATHAYO 9:9-17

9 Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake.
11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?
12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.
13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
14 Wakati ule wanafunzi wake Yohana wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, bali wanafunzi wako hawafungi?
15 Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi; ndipo watakapofunga.
16 Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu; maana kile kilichotiwa huondoa kipande cha lile vazi, na pale palipotatuka huzidi.
17 Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu; na kama wakitia, vile viriba hupasuka, divai ikamwagika, na viriba vikaharibika; bali hutia divai mpya katika viriba vipya, vikahifadhika vyote.

Leo ni Jumatano ya majivu, mwanzo kipindi cha kwaresma, kukumbuka kuteswa na kusulubiwa kwa Bwana Yesu. Tunakumbushwa katika mistari ya leo kwamba Yesu alikuja kuokoa wenye dhambi, wewe na mimi. Hebu tujiunge na Wakristo wengine duniani kote katika ibada ya kuanza kipindi hiki cha kwaresma pamoja. Karibu Azaniafront kuabudu kuanzia saa 11:00 jioni leo.