Date: 
05-07-2017
Reading: 
Mathew 16:24-28 NIV {Mathayo 16:24-28}

WEDNESDAY 5TH JULY 2017 MORNING                                          

Mathew 16:24-28  New International Version (NIV)

24 Then Jesus said to his disciples, “Whoever wants to be my disciple must deny themselves and take up their cross and follow me. 25 For whoever wants to save their life[a] will lose it, but whoever loses their life for me will find it. 26 What good will it be for someone to gain the whole world, yet forfeit their soul? Or what can anyone give in exchange for their soul? 27 For the Son of Man is going to come in his Father’s glory with his angels, and then he will reward each person according to what they have done.

28 “Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom.”

Footnotes:

  1. Matthew 16:25 The Greek word means either life or soul; also in verse 26.

We are not here in this world just to please ourselves. As Christians we need to follow the example of our Lord Jesus Christ. Jesus went about doing good for other people. Let us see how we can be a blessing to others today and every day.

We do not earn our salvation by the good things we do. We receive our salvation by the Grace of God through the death of Jesus Christ on the cross. However God wants us to obey His laws and be salt and light in the world. This will bring true joy to ourselves and others.

JUMATANO TAREHE 5 JULAI 2017 ASUBUHI                           

MATHAYO 16:24-28

24 Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate. 
25 Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayepoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataiona. 
26 Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? 
27 Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake. 
28 Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.

Mungu hakutukweka duniani ili tufurahi tu. Hapana, tunapaswa kuishi maisha ambayo yatabariki watu wengine. Tufuate mfano wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Yesu alitenda mema kwa watu wengine.

Laikini hatutafika mbinguni kwa sababu ya matendo yetu mema. Ni kwa neema tu tunaokolewa kwa imani katika kifo cha Yesu Kristo msalabani. Lakini tunapaswa kutii amri za Mungu na kuwa chumvi na nuru hapa duniani. Kuishi hivi kunataleta furaha ya kweli kwetu na kutabariki watu wengine.