Date: 
06-09-2017
Reading: 
Luke 6:43-45 NIV (Luka 6:43-45)

WEDNESDAY 6TH SEPTEMBER 2017 MORNING           

Luke 6:43-45  New International Version (NIV)

A Tree and Its Fruit

43 “No good tree bears bad fruit, nor does a bad tree bear good fruit. 44 Each tree is recognized by its own fruit. People do not pick figs from thorn bushes, or grapes from briers. 45 A good man brings good things out of the good stored up in his heart, and an evil man brings evil things out of the evil stored up in his heart. For the mouth speaks what the heart is full of.

When a tree is bearing fruit it is very easy to recognize what type of tree it is. The fruit tells us about the tree. Our words and actions show other people what we are like. Our words reflect our thoughts. If we have good pure thoughts then our mouths will bring forth praise to God and wise words that we bless and instruct and encourage others.

Fill your heart with good thoughts by meditating on God’s Word daily.  

JUMATANO TAREHE 6 SEPTEMBA 2017  ASUBUHI               

LUKA 6:43-45         

43 Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; 
44 kwa kuwa kila mti hutambulikana kwa matunda yake; maana, katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu. 
45 Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake. 
                                               

Mti ukizaa matunda ni rahisi kutambua ni mti aina gani. Matunda yanatambulisha mti. Vilevile maneno na matendo yetu yanatutambulisha jinsi tulivyo. Matendo na maneno yetu ni matokeo ya mawazo yetu. Tuwaze mawazo mazuri kwa kutafakari Neno la Mungu kila siku. Tukifanya hivi tutakuwa na na maeneno ya busara ya kumsifu Mungu na kubariki binadamu wenzetu.