Date: 
05-10-2017
Reading: 
Judges 13:8-9 NIV ( Waamuzi 13:8-9)

THURSDAY 5TH OCTOBER 2017

Judges 13:8-9

Then Manoah prayed to the Lord: “Pardon your servant, Lord. I beg you to let the man of God you sent to us come again to teach us how to bring up the boy who is to be born.”

God heard Manoah, and the angel of God came again to the woman while she was out in the field; but her husband Manoah was not with her.

The above verses are an introduction to the story of the birth of Samson (read up to verse 25) who was an important part of the history of the children of Israel. His parents needed God's guidance so his purpose could be fulfilled in the child that was to be born, Samson.

 

JUMANNE TAREHE 5 OKTOBA 2017

Waamuzi 13: 8 - 9

8 Ndipo huyo Manoa akamwomba Bwana, akisema, Ee Bwana, nakuomba, yule mtu wa Mungu uliyemtuma na aje kwetu mara ya pili, atufundishe hayo yatupasayo kumfanyia huyo mtoto atakayezaliwa.
9 Mungu akasikiza sauti ya Manoa; naye malaika wa Mungu akamwendea yule mwanamke tena alipokuwa anaketi shambani; lakini mumewe, Manoa, hakuwapo pamoja naye.

Mistari ya leo ni utangulizi wa habari ya kuzaliwa kwa Samson, ambaye alikua sehemu muhimu ya historia ya wana wa Israel. Wazazi wake walihitaji mwongozo wa Mungu ili mapenzi yake yatimie katika mtoto alakayezaliwa, Samson.