Date: 
29-11-2018
Reading: 
John 11:17-26 (Yohana 11:17-26)

THURSDAY 29TH NOVEMBER 2018 MORNING                           

John 11:17-26 New International Version (NIV)

Jesus Comforts the Sisters of Lazarus

17 On his arrival, Jesus found that Lazarus had already been in the tomb for four days. 18 Now Bethany was less than two miles[a] from Jerusalem,19 and many Jews had come to Martha and Mary to comfort them in the loss of their brother. 20 When Martha heard that Jesus was coming, she went out to meet him, but Mary stayed at home.

21 “Lord,” Martha said to Jesus, “if you had been here, my brother would not have died. 22 But I know that even now God will give you whatever you ask.”

23 Jesus said to her, “Your brother will rise again.”

24 Martha answered, “I know he will rise again in the resurrection at the last day.”

25 Jesus said to her, “I am the resurrection and the life. The one who believes in me will live, even though they die; 26 and whoever lives by believing in me will never die. Do you believe this?”

Footnotes:

  1. John 11:18 Or about 3 kilometers

Mary and Martha and Lazarus were close friends of Jesus. The sisters had sent a message to Jesus when their brother fell sick. They expected Jesus to come quickly and to heal Lazarus. But Jesus deliberately waited until He knew Lazarus was dead. Jesus wanted to demonstrate that He has power over death because He is the resurrection and the Life. Notice what Jesus said to Martha in verse 26. Jesus is asking you this question too.

ALHAMISI TAREHE 29 NOVEMBA 2018 ASUBUHI               

YOHANA 11:17-26

17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. 
18 Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi; 
19 na watu wengi katika Wayahudi walikuwa wamekuja kwa Martha na Mariamu, ili kuwafariji kwa habari ya ndugu yao. 
20 Basi Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alikwenda kumlaki; na Mariamu alikuwa akikaa nyumbani. 
21 Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa. 
22 Lakini hata sasa najua ya kuwa yo yote utakayomwomba Mungu, Mungu atakupa. 
23 Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka. 
24 Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho. 
25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; 
26 naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? 

Martha na Mariamu  na Lazaro walikuwa marafiki wa karibu wa Yesu. Wakati Lazaro alianza kuwa mgonjwa dada zake walituma ujumbe kwa Yesu Kristo. Walitegemea kwamba Yesu angefika mapema kumponya Lazaro. Lakini Yesu alikawia kufika kwa makusudi maluumu. Yesu alihitaji kumfufua Lazaro kuthibitisha kwamba ana mamlaka dhidi ya

Kifo. Yesu alitaka kuonyesha kwamba yeye ndiye Ufufuo na Uzima.

Tazama jinsi Yesu aliongea na Martha na swali alimuuliza (mst 26). Yesu anakuuliza wewe pia swali hili.