Date: 
30-11-2018
Reading: 
Joel 3:17-21

FRIDAY 30TH NOVEMBER 2018 MORNING                                     

Joel 3:17-21 New International Version (NIV)

Blessings for God’s People

17 “Then you will know that I, the Lord your God,
    dwell in Zion, my holy hill.
Jerusalem will be holy;

    never again will foreigners invade her.

18 “In that day the mountains will drip new wine,
    and the hills will flow with milk;
    all the ravines of Judah will run with water.
A fountain will flow out of the Lord’s house

    and will water the valley of acacias.[a]
19 But Egypt will be desolate,
    Edom a desert waste,
because of violence done to the people of Judah,

    in whose land they shed innocent blood.
20 Judah will be inhabited forever
    and Jerusalem through all generations.
21 Shall I leave their innocent blood unavenged?
    No, I will not.”

The Lord dwells in Zion!

Footnotes:

  1. Joel 3:18 Or Valley of Shittim

Jerusalem is a real physical city here on earth which is a holy place for Jews and Christians and Muslims. It is also a city at the center of political disputes between Israel and Palestine.

However Jerusalem is also used as a symbol of heaven.

So the meaning and date of fulfillment of the above prophecy are not clear. But the message we get is that God will bless His people and rescue them from their enemies.

God desires that we would love and serve Him and be faithful to Him.

IJUMAA TAREHE 30 NOVEMBA 2018 ASUBUHI                            

YOELI  3:17-21

17 Hivyo ndivyo mtakavyojua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, nikaaye Sayuni, mlima wangu mtakatifu; ndipo Yerusalemu utakapokuwa mtakatifu, wala wageni hawatapita tena ndani yake kamwe. 
18 Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya Bwana, na kulinywesha bonde la Shitimu. 
19 Misri itakuwa ukiwa, na Edomu itakuwa jangwa tupu, kwa sababu ya dhuluma waliowatenda wana wa Yuda; kwa sababu wamemwaga damu isiyo na hatia katika nchi yao. 
20 Bali Yuda atadumu milele, na Yerusalemu tangu kizazi hata kizazi. 
21 Nami nitaitakasa damu yao ambayo sijaitakasa; kwa maana Bwana ndiye akaaye Sayuni.

Yerusalemu ni mji halisi hapa duniani ambao ni mji mtakatifu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Pia ni mji ambao Wayahudi na Wapaletina wote wanataka kumiliki.

Pia Yerusalemu mara kwa mara inatumika kwa mfano wa mbinguni.

Maana halisi  ya utabiri huu wa Yoeli na lini utatokea haufahamiki vizuri. Lakini tunajifunza hapa kwamba Mungu anapenda watu wake. Anaahidi kuwaokoa kutoka maadui zao. Mungu anataka tumpende na tumtumikie.