Date: 
02-01-2017
Reading: 
Jeremiah 17:5-8 (NIV)

MONDAY 2ND JANUARY 2017 MORNING                         

Jeremiah 17:5-8  New International Version (NIV)

This is what the Lord says:

“Cursed is the one who trusts in man,
    who draws strength from mere flesh
    and whose heart turns away from the Lord.
That person will be like a bush in the wastelands;
    they will not see prosperity when it comes.
They will dwell in the parched places of the desert,

    in a salt land where no one lives.

“But blessed is the one who trusts in the Lord,
    whose confidence is in him.
They will be like a tree planted by the water
    that sends out its roots by the stream.
It does not fear when heat comes;

    its leaves are always green.
It has no worries in a year of drought

    and never fails to bear fruit.”

Notice the contrast between those who are cursed and those who are blessed. We all want to be blessed and live fruitful and successful lives. Here Jeremiah tells us that the key to success is to trust in the God and not in man.

Sometimes we say we trust in God when in practice we are looking for someone to help us. Let us humble ourselves and seek God and do His will in our lives. 

 

JUMATATU TAREHE 2 JANUARI 2017 ASUBUHI           

YEREMIA  17:5-8

5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. 
6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. 
7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. 
8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda. 

Tafakari kuhusu tofauti wa mtu aliyelaaniwa na yule aliyebarikiwa. Tunatamani sisi sote kubarikiwa na kupata furaha na mafanikio katika maisha yetu.   Tukitaka kubarikiwa tumtegemee Mungu kweli. Tusitegemee nguvu zetu wala msaada kutoka binadamu mwingine. Tujikabidhi kwa Mungu kila siku kwa unyenyekevu na tuishi maisha yanayompendeza.