Date: 
30-03-2017
Reading: 
Isaiah 64:6-12 (NIV)

THURSDAY 30TH MARCH 2017 MORNING                                    

Isaiah 64:6-12  New International Version (NIV)

All of us have become like one who is unclean,
    and all our righteous acts are like filthy rags;
we all shrivel up like a leaf,

    and like the wind our sins sweep us away.
No one calls on your name
    or strives to lay hold of you;
for you have hidden your face from us

    and have given us over to[a] our sins.

Yet you, Lord, are our Father.
    We are the clay, you are the potter;
    we are all the work of your hand.
Do not be angry beyond measure, Lord;
    do not remember our sins forever.
Oh, look on us, we pray,

    for we are all your people.
10 Your sacred cities have become a wasteland;
    even Zion is a wasteland, Jerusalem a desolation.
11 Our holy and glorious temple, where our ancestors praised you,
    has been burned with fire,
    and all that we treasured lies in ruins.
12 After all this, Lord, will you hold yourself back?
    Will you keep silent and punish us beyond measure?

Footnotes:

  1. Isaiah 64:7 Septuagint, Syriac and Targum; Hebrew have made us melt because of

The words above are part of a prayer to God asking for His mercy and forgiveness.  We are all sinners and we cannot do anything to please God in our own strength. Our lives are in His hands and He can use us as He wishes as the potter moulds the clay. But we call out to God for mercy.

Thank God that He is indeed merciful and loving and ready to forgive us when we come to Him in faith and repent ours sins.

ALHAMISI TAREHE 30 MACHI 2017 ASUBUHI               

ISAYA 64:6-12

6 Kwa maana sisi sote tumekuwa kama mtu aliye mchafu, na matendo yetu yote ya haki yamekuwa kama nguo iliyotiwa unajisi; sisi sote twanyauka kama jani, na maovu yetu yatuondoa, kama upepo uondoavyo. 
7 Tena hapana aliitiaye jina lako, ajitahidiye akushike; kwa kuwa umetuficha uso wako, nawe umetukomesha kwa njia ya maovu yetu. 
8 Lakini sasa, Ee Bwana, wewe u baba yetu; sisi tu udongo, nawe u mfinyanzi wetu; sisi sote tu kazi ya mikono yako. 
9 Ee Bwana, usione hasira nyingi, wala usiukumbuke uovu siku zote; tazama, angalia, twakusihi, sisi sote tu watu wako.
 10 Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa, Sayuni umekuwa jangwa, Yerusalemu umekuwa ukiwa. 
11 Nyumba yetu takatifu, nzuri, walimokusifu baba zetu, imeteketea moto; vitu vyetu vyote vyenye kupendeza vimeharibika. 
12 Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee Bwana? Utanyamaza, na kututesa sana?

Maneno haya juu ni sehemu ya sala kwa Bwana kuomba huruma yake. Kweli sisi binadamu ni wenye dhambi na hatuwezi kumfurahisha Mungu kwa nguvu zetu wenyewe. Maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu na ana haki kutufinyanga jinsi anavyotaka.  Tumshukuru Mungu kwa sababu anatupenda na yupo tayari kutusamehe   tukimtegemea na kutubu dhambi zetu.