Date: 
11-09-2018
Reading: 
Isaiah 41:8-10 (Isaya 41:8-10)

TUESDAY 11th SEPTEMBER 2018

Isaiah 41:8-10 New International Version (NIV)

“But you, Israel, my servant,
    Jacob, whom I have chosen,
    you descendants of Abraham my friend,
I took you from the ends of the earth,
    from its farthest corners I called you.
I said, ‘You are my servant’;
    I have chosen you and have not rejected you.
10 So do not fear, for I am with you;
    do not be dismayed, for I am your God.
I will strengthen you and help you;
    I will uphold you with my righteous right hand.

As God promised to protect His chosen children of Israel, so will he protect those who call upon his name. Put your life in the care of God, and be at peace knowing he will protect you.

JUMANNE TAREHE 11 SEPTEMBA 2018

ISAYA 41:8-10

8 Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Ibrahimu, rafiki yangu;
9 wewe niliyekushika toka miisho ya dunia, na kukuita toka pembe zake, nikikuambia, Wewe u mtumishi wangu; nimekuchagua wala sikukutupa;
10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Kama Mungu aliahidi kutetea watoto wake waliochaguliwa wa Israeli, ndivyo atakavyowalinda wale wanaomwitia jina lake. Weka maisha yako katika ulinzi wa Mungu na uwe na amani ukijua kwamba atakulinda.