Date: 
08-02-2018
Reading: 
Isaiah 40:6-8 NIV (Isaya 40:6-8)

THURSDAY 8TH FEBRUARY 2018 MORNING          

Isaiah 40:6-8 New International Version (NIV)

A voice says, “Cry out.”
    And I said, “What shall I cry?”

“All people are like grass,
    and all their faithfulness is like the flowers of the field.
The grass withers and the flowers fall,
    because the breath of the Lord blows on them.
    Surely the people are grass.
The grass withers and the flowers fall,
    but the word of our God endures forever.”

God’s Word is eternal. It is always up to date and relevant to our daily lives. Even though the Bible was written long ago and despite changes in technology, it still speaks to us and gives guidance for our daily lives. Let us treasure the Bible in these changing times. Read your Bible daily and listen to God speaking to you.  

 

 

ALHAMISI TAREHE 8 FEBRUARI 2018 ASUBUHI      

ISAYA 40:6-8

Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni; 
Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya Bwana yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani. 
Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele. 
 

Neno la Mungu ni la milele. Neno la Mungu halipitwi na wakati. Dunia inabadilika. Sayansi na teknoligia vinabadilika. Lakini Neno la Mungu bado ni hai na linakutana na mahitaji yetu. Soma Biblia yako kila siku. Sikiliza Mungu akisema nawe kwa Neno lake.