Date: 
27-03-2019
Reading: 
Isaiah 40:26

WEDNESDAY 27TH MARCH 2019 MORNING                           

Isaiah 40:26 New International Version (NIV)

26 Lift up your eyes and look to the heavens:
    Who created all these?
He who brings out the starry host one by one
    and calls forth each of them by name.
Because of his great power and mighty strength,
    not one of them is missing.

Have you taken time to look at the night sky and see the millions of stars, each one of which is a planet created by God? When we look at the wonders of God’s creation we should start to praise our mighty God. We should also remember the privilege and responsibility which God has given us to care for His creation. We are created in God’s likeness. Let us fulfil our responsibilities to care for God’s wonderful creation.

JUMATANO TAREHE  27 MACHI 2019 ASUBUHI               

ISAYA 40:26

26 Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake. 
 

Je ! umewahi kutazama anga usiku? Umeona nyota nyingi sana na kutambua kwamba kila mmoja ni sayari iliyoumbwa na Mungu?  Tunapaswa kumshukru Mungu na kumsifu kwa uzuri wa uumbaji wake. Utaona pia neema kumbwa kuumbwa kwa mfano wake na kupewa jukumu la kuutunza na kutawala uumbaji wa Mungu. Mungu atusaidie tuwe waaminifu katika wajibu wetu.