Date: 
22-11-2018
Reading: 
Isaiah 23:1-8

FRIDAY 23RD NOVEMBER 2018 MORNING                            

Isaiah 23:1-8 New International Version (NIV)

A Prophecy Against Tyre

1 A prophecy against Tyre:

Wail, you ships of Tarshish!
    For Tyre is destroyed
    and left without house or harbor.
From the land of Cyprus

    word has come to them.

Be silent, you people of the island
    and you merchants of Sidon,
    whom the seafarers have enriched.
On the great waters
    came the grain of the Shihor;
the harvest of the Nile
[a] was the revenue of Tyre,
    and she became the marketplace of the nations.

Be ashamed, Sidon, and you fortress of the sea,
    for the sea has spoken:
“I have neither been in labor nor given birth;

    I have neither reared sons nor brought up daughters.”
When word comes to Egypt,
    they will be in anguish at the report from Tyre.

Cross over to Tarshish;
    wail, you people of the island.
Is this your city of revelry,
    the old, old city,
whose feet have taken her

    to settle in far-off lands?
Who planned this against Tyre,
    the bestower of crowns,
whose merchants are princes,

    whose traders are renowned in the earth?

Footnotes:

  1. Isaiah 23:3 Masoretic Text; Dead Sea Scrolls Sidon, / who cross over the sea; / your envoys are on the great waters. / The grain of the Shihor, / the harvest of the Nile,

In Chapters 13 to 23 of the Book of Isaiah we read prophecies against various nations. They will be judged for their sins and rebellion against God. Let us know that God is a just judge. Let us examine our lives and repent our sins. God is also loving and merciful to all who come to Him in true humility and repentance.

 

IJUMAA TAREHE  23 NOVEMBA 2108 ASUBUHI                         

ISAYA 23:1-8

1 Ufunuo juu ya Tiro. Toeni sauti za uchungu, enyi merikebu za Tarshishi, kwa maana umeharibika kabisa, hata hapana nyumba, hapana mahali pa kuingia; toka nchi ya Kitimu wamefunuliwa habari. 
Tulieni, enyi mkaao kisiwani; wewe ambaye wafanya biashara wa Sidoni, wavukao bahari, walikujaza. 
Vitu vilivyopandwa, vya Shihori, mavuno ya Nile, yaliyokuja juu ya maji mengi, ndiyo pato lake, naye alikuwa soko la mataifa. 
Tahayari, Ee Sidoni; kwa maana bahari imenena, hiyo ngome ya bahari ilisema, Sikuona utungu, wala sikuzaa, wala sikulea vijana, wala sikulea wanawali. 
Habari itakapofika Misri wataona uchungu sana kwa sababu ya habari ya Tiro. 
Piteni mpaka Tarshishi, enyi mkaao kisiwani, toeni sauti ya uchungu. 
Je! Huu ndio mji wenu wa furaha, ambao mwanzo wake ulikuwako tangu siku za kale, ambao miguu yake ilimchukua akae mbali sana? 
Ni nani aliyefanya shauri hili juu ya Tiro, uliotia watu taji, ambao wafanya biashara wake walikuwa wana wa wafalme, na wachuuzi wake ni watu wakuu wa dunia? 

Katika milango ya 13 hadi 23 wa kitabu hii cha Nabii Isaya tunasoma tabiri ya hukumu dhidi ya mataifa mbalimbali. Mungu alisema atawahukumu kwa sababu ya dhambi zao na uasi wao. Mungu anachukia dhambi. Tujichunguze kuona kama tuna dhambi na tuwe tayari kutubu na kuiacha. Mungu ni mwenye upendo na rehema kwa watu ambao wanatoba ya kweli.