Date: 
12-08-2017
Reading: 
Hosea 3:1-5 NIV

SATURDAY 12TH AUGUST 2017 MORNING                              

Hosea 3:1-5 New International Version (NIV)

Hosea’s Reconciliation With His Wife

1 The Lord said to me, “Go, show your love to your wife again, though she is loved by another man and is an adulteress. Love her as the Lord loves the Israelites, though they turn to other gods and love the sacred raisin cakes.”

So I bought her for fifteen shekels[a] of silver and about a homer and a lethek[b] of barley. Then I told her, “You are to live with me many days; you must not be a prostitute or be intimate with any man, and I will behave the same way toward you.”

For the Israelites will live many days without king or prince, without sacrifice or sacred stones, without ephod or household gods. Afterward the Israelites will return and seek the Lord their God and David their king. They will come trembling to the Lord and to his blessings in the last days.

Footnotes:

  1. Hosea 3:2 That is, about 6 ounces or about 170 grams
  2. Hosea 3:2 A homer and a lethek possibly weighed about 430 pounds or about 195 kilograms.

The Prophet Hosea was called by God to act out in his life a picture of God’s love for His faithless people the Israeli Nation. The Israelis had committed spiritual adultery by rejecting God and worshipping false gods. Yet God still loved them and wanted to draw them back to Himself so they would repent and turn from their sins.

God has shown great love to each one of us even though we have often been faithless to Him. Let us obey God and service Him always.

JUMAMOSI TAREHE  12 AGOSTI 2017 ASUBUHI                     

HOSEA  3:1-5

1 Bwana akaniambia, Enenda tena, mpende mwanamke apendwaye na rafiki yake, naye ni mzinzi; kama vile Bwana awapendavyo wana wa Israeli, ingawa wanaigeukia miungu mingine, na kupenda mikate ya zabibu kavu. 
Basi nikajinunulia mwanamke huyo kwa vipande kumi na vitano vya fedha, na homeri moja ya shayiri, na nusu ya homeri ya shayiri; 
nami nilimwambia, Utatawa kwa ajili yangu siku nyingi; hutafanya mambo ya ukahaba, wala hutakuwa mke wa mtu awaye yote; nami nitakuwa hali iyo hiyo kwa ajili yako. 
Kwa maana wana wa Israeli watakaa siku nyingi bila mfalme, wala mtu mkuu, wala sadaka, wala nguzo, wala naivera, wala kinyago; 
baada ya hayo wana wa Israeli watarejea, na kumtafuta Bwana, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao; nao watamwendea Bwana na wema wake kwa kicho siku za mwisho.

Nabii Hosea aliaagizwa na Mungu aigize upendo wa Mungu kwa taifa la Israeli ambao walimwaasi Mungu. Waisraeli hawakuwa waaminifu kwa Mungu. Walikuwa na uzinzi wa kiroho kwa kumwacha Mungu na kuabudu miungu wengine.

Mungu anatupenda sisi sote lakini labda hatujawa waaminifu kwake. Tuliabudu miungu wengine hata mali zetu na vyeo au chochote ambacho tumekipenda kuliko Mungu.

Tutubu na tuwe waaminifu kwa Mungu.