Date: 
27-02-2017
Reading: 
Hebrews 2:5-10 (NIV)

MONDAY  27TH FEBRUARY 2017 MORNING                                 

Hebrews 2:5-10 New International Version (NIV)

Jesus Made Fully Human

It is not to angels that he has subjected the world to come, about which we are speaking. But there is a place where someone has testified:

“What is mankind that you are mindful of them,
    a son of man that you care for him?
You made them a little[a] lower than the angels;
    you crowned them with glory and honor
    and put everything under their feet.”[b][c]

In putting everything under them,[d] God left nothing that is not subject to them.[e] Yet at present we do not see everything subject to them.[f]But we do see Jesus, who was made lower than the angels for a little while, now crowned with glory and honor because he suffered death, so that by the grace of God he might taste death for everyone.

10 In bringing many sons and daughters to glory, it was fitting that God, for whom and through whom everything exists, should make the pioneer of their salvation perfect through what he suffered.

Footnotes:

  1. Hebrews 2:7 Or them for a little while
  2. Hebrews 2:8 Psalm 8:4-6
  3. Hebrews 2:8 Or You made him a little lower than the angels;/ you crowned him with glory and honor/ and put everything under his feet.”
  4. Hebrews 2:8 Or him
  5. Hebrews 2:8 Or him
  6. Hebrews 2:8 Or him

Jesus Christ is God and fully equal with God the Father and the Holy Spirit. Yet He took on humanity and was born into this world. Jesus experienced fully what it is to be human yet He did not sin. Jesus died on the cross being punished for our sins. Christ did this for us so that we sinners can be reconciled to God. Thank God for this wonderful gift of salvation which is available to all through repentance of sins and faith in Jesus Christ.  

JUMATATU TAREHE 27 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                   

WAEBRANIA 2:5-10

     5 Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema, 
6 Mwanadamu ni nini hata umkumbuke, Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie? 
7 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; 
8 Umeweka vitu vyote chini ya nyayo zake. Kwa maana katika kuweka vitu vyote chini yake hakusaza kitu kisichowekwa chini yake. Lakini sasa bado hatujaona vitu vyote kutiwa chini yake. 
9 ila twamwona yeye aliyefanywa mdogo punde kuliko malaika, yaani, Yesu, kwa sababu ya maumivu ya mauti, amevikwa taji ya utukufu na heshima, ili kwa neema ya Mungu aionje mauti kwa ajili ya kila mtu. 
10 Kwa kuwa ilimpasa yeye, ambaye kwa ajili yake na kwa njia yake vitu vyote vimekuwapo, akileta wana wengi waufikilie utukufu, kumkamilisha kiongozi mkuu wa wokovu wao kwa njia ya mateso. 
 

Yesu Kristo ni Mungu. Ana utukufu kama Mungu Baba na Roho Mtakatifu. Lakini Yesu aliacha utukufu mbinguni na alikuja duniani. Yesu alikuwa mwanadamu na alishiriki hali ya ubinadamu lakini hakufanya dhambi. Yesu alikufa msalabani akibeba dhambi zetu.

Tumshukuru Mungu kwa wokovu unaopatikana kwa neema ya Mungu kwa njia ya toba na kumwamini Yesu Kristo.