Date: 
26-11-2018
Reading: 
Hebrews 11:13-16 (Waebrania 11:13-16)

MONDAY  26TH NOVEMBER 2018 MORNING                       

Hebrews 11:13-16 New International Version (NIV)

13 All these people were still living by faith when they died. They did not receive the things promised; they only saw them and welcomed them from a distance, admitting that they were foreigners and strangers on earth. 14 People who say such things show that they are looking for a country of their own. 15 If they had been thinking of the country they had left, they would have had opportunity to return. 16 Instead, they were longing for a better country—a heavenly one. Therefore God is not ashamed to be called their God, for he has prepared a city for them.

Hebrews chapter 11 is about faith in God and gives examples of many people with great faith. May God increase your faith. Pray that you will have a clear vision of heaven and understand that life on earth is a journey preparing us for Eternal life in heaven. May God guide us daily and help us to live wisely. 

JUMATATU TAREHE 26 NOVEMBA 2018 ASUBUHI            

WAEBRANIA 11:13-16

13 Hawa wote wakafa katika imani, wasijazipokea zile ahadi, bali wakaziona tokea mbali na kuzishangilia, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya nchi. 
14 Maana hao wasemao maneno kama hayo waonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe. 
15 Na kama wangaliikumbuka nchi ile waliyotoka, wangalipata nafasi ya kurejea. 
16 Lakini sasa waitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji. 
   

Waebrania mlango wa 11 unahusu imani na unatoa mifano mingi ya watu wa imani. Tujifunze kuhusu imani yao na tuige. Tuombe Mungu atusaidie kuelewa kwamba maisha hapa duniani ni maandalizi ya maisha ya milele huko mbinguni. Mungu atusiaidie kujiandaa vizuri, kumtegemea Yesu na kuishi kwa hekima.