Date: 
05-03-2019
Reading: 
Galatians 2:18-21

TUESDAY 5TH MARCH 2019

GALATIANS 2:18-21

Galatians 2:18-21 New International Version (NIV)

18 If I rebuild what I destroyed, then I really would be a lawbreaker.

19 “For through the law I died to the law so that I might live for God. 20 I have been crucified with Christ and I no longer live, but Christ lives in me. The life I now live in the body, I live by faith in the Son of God, who loved me and gave himself for me. 21 I do not set aside the grace of God, for if righteousness could be gained through the law, Christ died for nothing!”[a]

Footnotes:

  1. Galatians 2:21 Some interpreters end the quotation after verse 14.

Apostle Paul is reminding Christians that we cannot gain salvation by keeping the law, but by the grace of God through Jesus Christ.

JUMANNE TAREHE 5 MACHI 2019

WAGALATIA 2:18-21

18 Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji.
19 Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu.
20 Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu; na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda, akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu.
21 Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure.

Mtume Paulo anakumbusha Wakristo kwamba hatuwezi kupata wokovu kwa kuzingatia sheria, bali kwa neema ya Mungu kupitia Yesu Kristo.