Date: 
25-01-2019
Reading: 
EPHESIANS 5:3-6 (Waefeso 5:3-6)

FRIDAY 25TH JANUARY 2019 MORNING                          

EPHESIANS 5:3-6

But among you there must not be even a hint of sexual immorality, or of any kind of impurity, or of greed, because these are improper for God’s holy people. Nor should there be obscenity, foolish talk or coarse joking, which are out of place, but rather thanksgiving. For of this you can be sure: No immoral, impure or greedy person—such a person is an idolater—has any inheritance in the kingdom of Christ and of God.[a] Let no one deceive you with empty words, for because of such things God’s wrath comes on those who are disobedient.

Footnotes:

  1. Ephesians 5:5 Or kingdom of the Messiah and God

Notice the warning which The Apostle Paul gives to the Christians at Ephesus. Many of them had come from a Pagan and immoral background. But they had put their faith in Jesus Christ as their Lord and Savior and their lives should be changed. We are saved by Faith in Christ through the Grace of God. However our lives should reflect the change of direction. Let us not play with sin but rather strive to be Holy like Jesus Christ.

 

IJUMAA TAREHE 25 JANUARI 2019 ASUBUHI                           

EFESO 5:3-6

Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu; 
wala aibu wala maneno ya upuzi wala ubishi; hayo hayapendezi; bali afadhali kushukuru. 
Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu. 
Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo na maana; kwa kuwa kwa sababu ya hayo hasira ya Mungu huwajia wana wa uasi.

Tafakari maneno ya Mtume Paulo kwa Kanisa kule Efeso. Anawaandikia Wakristo kule Efeso ambao wengi waliingia Ukristo kutoka Upagani na maisha ya zinaa. Waliamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wao. Basi maisha yao na mwenendo wao ilipaswa kubadilika kabisa.

Tumeokolewa kwa Neema kwa njia ya Imani katika Yesu Kristo lakini tunapaswa kuchukia dhambi na kutafuta kuwa watakatifu kama Yesu Kristo.