Date: 
26-03-2019
Reading: 
ECCLESIASTES  11:1-6 (Mhubiri 11:1-6)

TUESDAY 26TH MARCH 2019 MORNING                          

ECCLESIASTES  11:1-6 New International Version (NIV)

Invest in Many Ventures

1 Ship your grain across the sea;
    after many days you may receive a return.
Invest in seven ventures, yes, in eight;
    you do not know what disaster may come upon the land.

If clouds are full of water,
    they pour rain on the earth.
Whether a tree falls to the south or to the north,
    in the place where it falls, there it will lie.
Whoever watches the wind will not plant;
    whoever looks at the clouds will not reap.

As you do not know the path of the wind,
    or how the body is formed[
a] in a mother’s womb,
so you cannot understand the work of God,
    the Maker of all things.

Sow your seed in the morning,
    and at evening let your hands not be idle,
for you do not know which will succeed,
    whether this or that,
    or whether both will do equally well.

Footnotes:

  1. Ecclesiastes 11:5 Or know how life (or the spirit) / enters the body being formed

King Solomon gives good advice to people engaged in businesses and to farmers. He encourages us all to be hard working and creative. He also reminds us that it is God who created and who controls this world and who made each one of us in our mother’s womb. Let us commit our lives into God’s hands and ask for His guidance and blessing upon our daily work.

JUMANNE TAREHE 26 MACHI 2019 ASUBUHI                

MHUBIRI 11:1-6

1 Tupa chakula chako usoni pa maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi. 
2 Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi. 
3 Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala. 
4 Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna. 
5 Kama vile wewe usipojua njia ya upepo ni ipi, wala jinsi mifupa ikuavyo tumboni mwake mja mzito; kadhalika huijui kazi ya Mungu, afanyaye mambo yote. 
6 Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiuzuie mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,kama ni hii au hii,au kama zote zitafaa sawasawa. 
 

Mfalme Sulemani anatoa ushauri mzuri kwa wafanyabishara na wakulima na wafanyakazi wote. Tufanye kazi zetu kwa bidii na ubunifu. Pia anatukumbusha kwamba Mungu ni Muumbaji wa dunia na ametuumba hata sisi kila mmoja katika tumbo la mama yake. Mungu anatunza dunia. Tuendelee kujikabidii mikononi mwake. Tumwombe Mungu atulinde, na atuongoze na atubariki siku zote.