Date: 
04-08-2020
Reading: 
Deuteronomy 6:16-19 (Kumbukumbu 6:16-19)

TUESDAY  4TH AUGUST 2020  MORNING                                                              

Deuteronomy 6:16-19 New International Version (NIV)

 16 Do not put the Lord your God to the test as you did at Massah. 17 Be sure to keep the commands of the Lord your God and the stipulations and decrees he has given you. 18 Do what is right and good in the Lord’s sight, so that it may go well with you and you may go in and take over the good land the Lord promised on oath to your ancestors, 19 thrusting out all your enemies before you, as the Lord said.

God can be tempted whenever people, by being dissatisfied with His dealings, practically ask that He will change those dealings, and proceed in a way more pleasant to their feelings. In short, unbelief of every kind and every degree means to tempt God.


JUMANNE TAREHE 4 AGOSTI 2020   ASUBUHI         

KUMBUKUMBU 6:16-19

16 Msimjaribu Bwana, Mungu wenu, kama mlivyomjaribu huko Masa.
17 Zishikeni kwa bidii sheria za Bwana, Mungu wenu, na mashuhudizo yake, na amri zake alizokuagiza.
18 Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa Bwana; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri Bwana aliyowaapia baba zako,
19 ya kuwa atawasukumia nje adui zako wote mbele yako, kama alivyosema Bwana.

Mungu aweza kujaribiwa pale watu wake, kwa kutoridhishwa na mipango yake, wanaona ni vyema kubadili atendavyo na kufanya lile linalowapendeza wao. Kwa ufupi ni kwamba, kutokuamini kwa namna yoyote na kwa kipimo chochote ni kumjaribu Mungu.