Date: 
04-07-2019
Reading: 
Deuteronomy 6:14-15 (KUMBUKUMBU LA TORATI 6:14-15)  

THURSDAY 4TH  JULY 2019  MORNING                              

Deuteronomy 6:14-15 New International Version (NIV)

14 Do not follow other gods, the gods of the peoples around you; 15 for the Lord your God, who is among you, is a jealous God and his anger will burn against you, and he will destroy you from the face of the land.

This is basically the First commandment of Ten Commandments given by God to Moses.  Let us be faithful to the one true God. Let us not have any idols in our lives. If any person or anything is more important to us than God then it is an idol or false God.

Seek First the Kingdom of God and His righteousness.  (Mat 6:33)

ALHAMISI TAREHE 4 JULAI 2019 ASUBUHI          

KUMBUKUMBU LA TORATI 6:14-15         

14 Msifuate miungu mingine katika miungu ya mataifa wawazungukao; 
15 kwani Bwana, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya Bwana, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi. 
 

Maneno haya juu yanalingana sana na Amri ya Kwanza katika Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Musa ya ajili ya Taifa la Israeli.

Tumheshimu na tumpende na tumtii Mungu wa kweli. Tusiwe na miungu mengine. Kama unampenda mtu au kitu kuliko Mungu ni kama mungu mwingine kwako.

Tutafute kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake. ( Mat 6:33)