Date: 
24-11-2018
Reading: 
Amos 2:1-5

SATURDAY 24TH NOVEMBER 2018 MORNING           

Amos 2:1-5 New International Version (NIV)

1This is what the Lord says:

“For three sins of Moab,

    even for four, I will not relent.

Because he burned to ashes

    the bones of Edom’s king,

2 I will send fire on Moab

    that will consume the fortresses of Kerioth.[a]

Moab will go down in great tumult

    amid war cries and the blast of the trumpet.

3 I will destroy her ruler

    and kill all her officials with him,”

says the Lord.

4 This is what the Lord says:

“For three sins of Judah,

    even for four, I will not relent.

Because they have rejected the law of the Lord

    and have not kept his decrees,

because they have been led astray by false gods,[b]

    the gods[c] their ancestors followed,

5 I will send fire on Judah

    that will consume the fortresses of Jerusalem.”

Footnotes:

Amos 2:2 Or of her cities

Amos 2:4 Or by lies

Amos 2:4 Or lies

These are word of judgement pronounced upon the nation of Moab and upon Judah. Notice especially what God says about Judah. They have rejected His law and decrees and been lead astray by idols.

Think about yourself. Do you obey God’s commands? Do you love His Word in the Bible. Or are you tempted by other gods? Do you value your money and possessions too much? Are you tempted to give bribes and to gain money by dishonest means. Ask God to help you truly put Him first in your life.  

 

 

JUMAMOSI TAREHE 24 NOVEMBA 2018 ASUBUHI                     

Amosi 2:1-5

     1 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Moabu, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu aliichoma moto mifupa ya mfalme wa Edomu hata ikawa chokaa; 

2 lakini nitapeleka moto juu ya Moabu, nao utayateketeza majumba ya Keriothi; na Moabu atakufa pamoja na mshindo, na kelele, na sauti ya tarumbeta; 

3 nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema Bwana. 

4 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Yuda, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wameikataa sheria ya Bwana; wala hawakuzishika amri zake; na maneno yao ya uongo yamewakosesha, ambayo baba zao waliyafuata; 

5 lakini nitapeleka moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu. 

 

Maneno haya ni hukumu ya Mungu juu ya Taifa la Moab na Yuda. Tazama sana anasemaje kuhusu Yuda. Anawahukumu kwa sababu hawakutii seria zake na wana maneno ya uongo.

Chunguza maisha yako. Kweli unampenda Mungu na sheria zake na Neno lake katika Biblia? Unaishi kufuatana na amri zake au unatamani utajiri na heshima na cheo kuliko yote? Omba Mungu akusiadia uwe mwaminifu.