Date: 
14-01-2020
Reading: 
Acts 22:6-10 (Matendo 22:6-10)

TUESDAY 14TH JANUARY 2020  MORNING                          

Acts 22:6-10 New International Version (NIV)

“About noon as I came near Damascus, suddenly a bright light from heaven flashed around me. I fell to the ground and heard a voice say to me, ‘Saul! Saul! Why do you persecute me?’

“‘Who are you, Lord?’ I asked.

“ ‘I am Jesus of Nazareth, whom you are persecuting,’ he replied. My companions saw the light, but they did not understand the voice of him who was speaking to me.

10 “‘What shall I do, Lord?’ I asked.

“ ‘Get up,’ the Lord said, ‘and go into Damascus. There you will be told all that you have been assigned to do.’ 11 My companions led me by the hand into Damascus, because the brilliance of the light had blinded me.

 

God has saved and called us, not according to our works, but according to His own purpose and grace which was granted us in Christ Jesus from all eternity.


JUMANNE TAREHE 14 JANUARI 2020  ASUBUHI            

MATENDO YA MITUME 22:6-10

Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhuhuri, ghafula nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote.
Nikaanguka nchi, nikasikia sauti ikiniambia, Sauli, Sauli, mbona unaniudhi?
Nikajibu, Wewe u nani, Bwana? Akaniambia, Mimi ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unaniudhi.
Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami.
10 Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye.

 

Mungu ametuokoa na kutuita, siyo kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu ya kusudi lake na neema aliyotukirimia katika Yesu Kristo tangu milele yote.