Date: 
04-11-2016
Reading: 
2 Timothy 2:14-19 New International Version (NIV)

FRIDAY 4TH NOVEMBER 2016 MORNING                         

2 Timothy 2:14-19 New International Version (NIV)

Dealing With False Teachers

14 Keep reminding God’s people of these things. Warn them before God against quarreling about words; it is of no value, and only ruins those who listen. 15 Do your best to present yourself to God as one approved, a worker who does not need to be ashamed and who correctly handles the word of truth. 16 Avoid godless chatter, because those who indulge in it will become more and more ungodly. 17 Their teaching will spread like gangrene. Among them are Hymenaeus and Philetus, 18 who have departed from the truth. They say that the resurrection has already taken place, and they destroy the faith of some. 19 Nevertheless, God’s solid foundation stands firm, sealed with this inscription: “The Lord knows those who are his,” and, “Everyone who confesses the name of the Lord must turn away from wickedness.”

The Apostle Paul is giving teaching to young Pastor Timothy. He emphasizes the importance of sound teaching in the church. He also stresses the importance of holy living.

Let us also follow this example in our lives. Let us seek to study the Bible and understand the truth and apply it to our lives.

 

IJUMAA TAREHE 4 NOVEMBA 2016 ASUBUHI                             

2 TIMOTHEO 2:14-19

14 Uwakumbushe mambo hayo, ukiwaonya machoni pa Mungu, wasiwe na mashindano ya maneno, ambayo hayana faida, bali huwaharibu wasikiao. 
15 Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli. 
16 Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu, 
17 na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto, 
18 walioikosa ile kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha kuwapo, hata kuipindua imani ya watu kadha wa kadha. 
19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu. 
 

Mtume Paulo anamfundisha Mchungaji Kijana Timotheo.  Paulo anasisitiza umuhimu wa Mafundisho sahihi na kutumia vizuri Biblia. Pia anasisitiza umuhimu wa maisha matakatifu.

Sisi ni vema tunzingatie mafundisho haya katika maisha yetu.