Date: 
16-03-2017
Reading: 
2 Samuel 12:26-31 (NIV)

THURSDAY  16TH MARCH 2017 MORNING                                

2 Samuel 12:26-31   New International Version (NIV)

26 Meanwhile Joab fought against Rabbah of the Ammonites and captured the royal citadel. 27 Joab then sent messengers to David, saying, “I have fought against Rabbah and taken its water supply.28 Now muster the rest of the troops and besiege the city and capture it. Otherwise I will take the city, and it will be named after me.”

29 So David mustered the entire army and went to Rabbah, and attacked and captured it. 30 David took the crown from their king’s[a] head, and it was placed on his own head. It weighed a talent[b] of gold, and it was set with precious stones. David took a great quantity of plunder from the city 31 and brought out the people who were there, consigning them to labor with saws and with iron picks and axes, and he made them work at brickmaking.[c] David did this to all the Ammonite towns. Then he and his entire army returned to Jerusalem.

Footnotes:

  1. 2 Samuel 12:30 Or from Milkom’s (that is, Molek’s)
  2. 2 Samuel 12:30 That is, about 75 pounds or about 34 kilograms
  3. 2 Samuel 12:31 The meaning of the Hebrew for this clause is uncertain.

Joab gave David the chance to take the city of Rabbath from the enemies. Joab did his part and then he gave David the chance to continue the battle.

Let us learn to co-operate with others and not try to take all the glory for ourselves.  

ALHAMISI TAREHE 16 MACHI 2017 ASUBUHI                    

2 SAMWELI 12:26-31

26 Yoabu akapigana juu ya Raba wa wana wa Amoni, akautwaa mji wa kifalme. 
27 Yoabu akatuma wajumbe waende kwa Daudi, kusema Nimeshindana na Raba, hata nimeutwaa huo mji wa maji. 
28 Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu. 
29 Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa. 
30 Kisha akamnyang'anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nayo ilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana. 
31 Naye akawatoa watu waliokuwamo, akawaweka kwenye kazi ya misumeno,na sululu za chuma,na mashoka ya chuma,akawatumikisha,tanuuni mwa matofali ndivyo alivyoifanya miji yote ya wana wa Amoni.Kisha Daudi akarudi na watu wote Yerusalemu.

Yoabu alianza vita dhidi ya mji wa Raba. Lakini alimwita mfalme Daudi ile apate nafasi kuuteka mji na kupata heshima.

Tujifunze kushirikiana na wengine na tusitafute kusifiwa sisi tu.