Date: 
10-02-2017
Reading: 
2 Peter 1:19-21 (NIV)

FRIDAY 10TH FEBRUARY  2017 MORNING                           

2 Peter 1:19-21  New International Version (NIV)

19 We also have the prophetic message as something completely reliable, and you will do well to pay attention to it, as to a light shining in a dark place, until the day dawns and the morning star rises in your hearts.20 Above all, you must understand that no prophecy of Scripture came about by the prophet’s own interpretation of things. 21 For prophecy never had its origin in the human will, but prophets, though human, spoke from God as they were carried along by the Holy Spirit.

The Bible is God’s Word. It was written under the inspiration of the Holy Spirit.  So it is light to our hearts. The message of the Bible and especially the Gospel shines in the darkness so that we can see clearly how we should live.

IJUMAA TAREHE 10 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                       

2 PETRO 1:19-21

19 Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu. 
20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. 
21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

Biblia ni Neno la Mungu. Waandishi wa Biblia hawakuandika mawazo yao bali waliongozwa na Roho Mtakatifu. Ujumbe wa Biblia na hasa Injili ni nuru. Nuru hii inatumulika ili tujue jinsi ya kuishi.