Date: 
05-04-2018
Reading: 
1 Corinthians 15:1-8 (1 Wakorintho 15:1-8)

THURSDAY 5TH APRIL 2018  MORNING                   

1 Corinthians 15:1-8 New International Version (NIV)

The Resurrection of Christ

1 Now, brothers and sisters, I want to remind you of the gospel I preached to you, which you received and on which you have taken your stand. By this gospel you are saved, if you hold firmly to the word I preached to you. Otherwise, you have believed in vain.

For what I received I passed on to you as of first importance[a]: that Christ died for our sins according to the Scriptures, that he was buried, that he was raised on the third day according to the Scriptures, and that he appeared to Cephas,[b] and then to the Twelve. After that, he appeared to more than five hundred of the brothers and sisters at the same time, most of who are still living, though some have fallen asleep. Then he appeared to James, then to all the apostles, and last of all he appeared to me also, as to one abnormally born.

Footnotes:

  1. 1 Corinthians 15:3 Or you at the first
  2. 1 Corinthians 15:5 That is, Peter

We have just been celebrating the resurrection of Jesus Christ on Easter Sunday.  The death and resurrection of Jesus Christ are central to our faith as Christians. Without the Resurrection we have no hope as Christians. However Paul argues in this chapter that the evidence of the resurrection of Jesus Christ is irrefutable. There is no doubt. Jesus indeed rose from the dead. He has overcome sin and death and hell. Let us praise God for this wonderful news and trust in Jesus Christ as our Lord and Saviour.

ALHAMISI TAREHE 5 APRILI 2018 ASUBUHI            

1 KORINTHO  15:1-8

1 Basi, ndugu zangu, nawaarifu ile injili niliyowahubiri; ambayo ndiyo mliyoipokea, na katika hiyo mnasimama, 
na kwa hiyo mnaokolewa; ikiwa mnayashika sana maneno niliyowahubiri isipokuwa mliamini bure. 
Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; 
na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko; 
na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; 
baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala; 

baadaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; 
na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake. 

Jumapili iliyopita tulisherekea Ufufuko wa Yesu Kristo. Mtume Paulo katika sura hii anafundisha kuhusu umuhimu wa Ufufuo wa Yesu Kristo. Anaelezea pia kwamba kuna mashahidi wengi sana  waliomwona Yesu baada ya kifo na kufufaka kwake. Kuna ushahidi wa kutosha kabisa kwamba Yesu yu hai. Hili ndio tumaini letu na furaha yetu.

Tumshukuru Mungu na tumtegemee Yesu Kristo  kama Bwana na Mwokozi wetu.