Date: 
18-09-2018
Reading: 
1 Corinthians 10:29-33 ( 1 Korinthians 10:29-33)

TUESDAY 18TH SEPTEMBER 2018

1 Corinthians 10:29-33 New International Version (NIV)

29 I am referring to the other person’s conscience, not yours. For why is my freedom being judged by another’s conscience? 30 If I take part in the meal with thankfulness, why am I denounced because of something I thank God for?

31 So whether you eat or drink or whatever you do, do it all for the glory of God. 32 Do not cause anyone to stumble, whether Jews, Greeks or the church of God— 33 even as I try to please everyone in every way. For I am not seeking my own good but the good of many, so that they may be saved.

We all come from different cultures and backgrounds. As Christians we must not judge others by our yardsticks, but rather try not to be a stumbling block for them to see Jesus Christ in us. Rules and traditions should not come in the way of seeking Christ.

JUMANNE TAREHE 18 SEPTEMBER 2018

1 KORINTHO 10:29-33

29 Nasema, dhamiri, lakini si yako, bali ya yule mwingine. Maana kwa nini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine?
30 Ikiwa mimi natumia sehemu yangu kwa shukrani, kwa nini nitukanwe, kwa ajili ya kitu nikishukuriacho?
31 Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.
32 Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunani wala kanisa la Mungu,
33 vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, ila faida yao walio wengi, wapate kuokolewa.

Sisi sote tunatoka katika tamaduni na mazingira tofauti. Kama Wakristo hatupaswi kuhukumu wengine kwa vipimo yetu, lakini pia tusiwe kikwazo kwao kumwona Yesu Kristo ndani yetu. Kanuni na mila haipaswi kuwa kizuizi katika njia ya kumtafuta Kristo.