Date: 
25-03-2017
Reading: 
Luke 9:51-56 (NIV)

SATURDAY 25TH MARCH  2017 MORNING                               

Luke 9:51-56  New International Version (NIV)

Samaritan Opposition

51 As the time approached for him to be taken up to heaven, Jesus resolutely set out for Jerusalem. 52 And he sent messengers on ahead, who went into a Samaritan village to get things ready for him; 53 but the people there did not welcome him, because he was heading for Jerusalem. 54 When the disciples James and John saw this, they asked, “Lord, do you want us to call fire down from heaven to destroy them[a]?”55 But Jesus turned and rebuked them. 56 Then he and his disciples went to another village.

Footnotes:

  1. Luke 9:54 Some manuscripts them, just as Elijah did

Jesus Christ came to the world to save all people. He was born as a Jew in Bethlehem. The Samaritans were enemies of the Jews. On other occasions Samaritans accepted Jesus’ Ministry but in this case they rejected Him. The response of the Apostles was to wish to destroy these enemies but Jesus refused to do so.

Thank God that Jesus came for all people. Do not discriminate against people based on their nationality or tribe.  

JUMAMOSI TAREHE 25 MACHI 2017 ASUBUHI                             

LUKA 9:51-56

51 Ikawa, siku za kupaa kwake zilipokuwa karibu kutimia, yeye aliukaza uso wake kwenda Yerusalemu; 
52 akatuma wajumbe kutangulia mbele ya uso wake; wakaenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, ili kumtengenezea mahali. 
53 Lakini wenyeji hawakumkaribisha kwa vile alivyouelekeza uso wake kwenda Yerusalemu. 
54 Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]? 
55 Akawageukia, akawakanya. [Akasema, Hamjui ni roho ya namna gani mliyo nayo.] 
56 Kwa maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za watu, bali kuziokoa. Wakaondoka wakaenda mpaka kijiji kingine.

Yesu Kristo alikuja duniani kuokoa watu wote. Yesu alizaliwa Bethlehemu kama Myahudi lakini alikuja kwa watu wote. Wasamaria na Wayahudi walikuwa maadui.  Nyakati nyingine Wasamaria walimpokea Yesu na huduma yake. Lakini katika somo hapo juu walimkataa. Wanafunzi wa Yesu walikasirika na walitaka kuwaangamiza wale Wasamaria. Lakini Yesu alikataa.

Yesu hana ubaguzi. Na sisi tusibague watu kwa sababu ya Taifa au kabila lao.