TUKIO LA KIHISTORIA LA KUINGIZWA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU, KATIBU MKUU NA

NAIBU WAKE, WA DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI,LILO FANYIKA-JUMAPILI TAREHE

19 APRILI-2015,KANISA KUU AZANIAFRONT

image008

Askofu Alex Malasusa (Kulia) akiwa na Msaidizi wake mpya Mch. Lwiza mara baada ya

kuingizwa kazini.

Bishop Alex Malasusa posing with his new assistant Rev. Lwiza shortly after being

officiated.

image073

Katibu Mkuu mpya Bw. Gofrey Nkini (Kati) akitambulishwa rasmi na Askofu Malasusa mara

baada ya kuingizwa kazini. Kulia kwake ni mkewe Bi. Nkini

The newly appointed Eastern & Coastal Diocese Secretary General (center) being introduced

by Bishop Alex Malasusa shortly after_being_officiated. His wife stands by him on the right.

image096

Naibu katibu mkuu mpya Mch. Adam Kombo (kati) akitambulishwa mara baada ya kuingizwa

kazini. Kulia ni Mkewe Mch. Kombo.

Bishop Malasusa introducing the newly appointed assistant Secretary General Rev. Adam

Kombo,shortly after being officiated.