Date: 
03-01-2018
Reading: 
John 14:13-14 ( Yohana 14:13-14)

WEDNESDAY 3RD JANUARY 2017 MORNING                                    
 

John 14:13-14 New International Version (NIV)


13 And I will do whatever you ask in my name, so that the Father may be glorified in the Son. 14 You may ask me for anything in my name, and I will do it.


This is the third day of the New Year 2018. We begin this year with theme : “Start everything in Jesus’ name”.
In this prayer is the key. In prayer we come to God this morning and every day. We commit our lives into God’s hands and we ask God to be with us to help and guide us and to provide our needs.
Make a resolution to start each day in prayer and to keep close to God always.   

JUMATANO TAREHE 3 JANUARI 2017 ASUBUHI                              

YOHANA 14:13-14  


13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 
14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. 

Leo ni siku ya tatu katika Mwaka huu mpya wa 2018. Wiki hii tuna wazo kuu “ Anza yote katika jina la Yesu Kristo”. 
Njia kuu kufanya hivi ni kwa njia ya maombi. Tutafute uso wa Mungu asubuhi hii na kila siku. Tukabidhi maisha yetu mikononi kwa Mungu. Tumwombee Mungu awe nasi na kutusaidia na kutuongoza na atupe mahitaji yetu.

Weka maamuzi kuanza kila siku katika maombi na uwe karibu na Mungu wakati wote.