Date: 
28-12-2016
Reading: 
Wed 28th Dec: Matthew 10:29-33 (NIV)

WEDNESDAY 28TH DECEMBER 2016 MORNING                        

Matthew 10:29-33  New International Version (NIV)

29 Are not two sparrows sold for a penny? Yet not one of them will fall to the ground outside your Father’s care.[a] 30 And even the very hairs of your head are all numbered. 31 So don’t be afraid; you are worth more than many sparrows.

32 “Whoever acknowledges me before others, I will also acknowledge before my Father in heaven. 33 But whoever disowns me before others, I will disown before my Father in heaven.

Footnotes:

  1. Matthew 10:29 Or will; or knowledge

God made the world and He cares for all His creation. God loves us and we are precious to Him. God knows everything about us. God wants us to live in a close relationship with Him. God wants us to tell other people about Him.

Sometimes we may feel afraid to talk about God to those who don’t know Him or who have different religious beliefs to ourselves. Pray that God would give you the right words to say to share your faith with others. Pray that God would help you be faithful in the way you live in the world so that you will honour God.

JUMATANO TAREHE 28 DISEMBA 2016 ASUBUHI                          

MATHAYO 10:29-33

 29 Je! Mashomoro wawili hawauzwi kwa senti moja? Wala hata mmoja haanguki chini asipojua Baba yenu; 
30 lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. 
31 Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi. 
32 Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni. 
33 Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni. 
 

Mungu aliumba ulimwengu na anatunza uumbaji wake. Mungu anapenda kila kiumbe na hasa sisi wanadamu. Mungu anajua kila kitu kuhusu maisha yetu na anatutunza.

Mungu anataka tumshuhudie kwa mwenendo wetu na kwa maneno yetu.  Inawezekana unaogopa kuwambia watu kuhusu Mungu na matendo yake katika maisha yako hasa wakati upo na watu wa imani zingine. Mwombe Mungu akupe ujasiri na nafasi nzuri kumshuhudia.