Date: 
29-12-2016
Reading: 
Thur 29th Dec: Acts 8:1-3 (NIV)

THURSDAY  29TH DECEMBER 2016 MORNING                       

Acts 8:1-3  New International Version (NIV)

1 And Saul approved of their killing him.

The Church Persecuted and Scattered

On that day a great persecution broke out against the church in Jerusalem, and all except the apostles were scattered throughout Judea and Samaria. Godly men buried Stephen and mourned deeply for him.But Saul began to destroy the church. Going from house to house, he dragged off both men and women and put them in prison.

 

After Stephen the First Christian Martyr was killed the church suffered great persecution. Saul killed many people. He opposed the Gospel perhaps thinking it was heresy.

But we praise God that this was not the end of the story. We know that the Lord Jesus Christ appeared to Saul and he was converted. Saul the persecutor became Paul the Apostle who was used greatly of God to preach the Gospel and plant churches.

Pray that those who are persecuting Christians today will have a similar change of heart and come to true faith in Jesus Christ.

 

ALHAMISI TAREHE 29 DISEMBA 2016 ASUBUHI              

MATENDO  8:1-3

1 Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume. 
2 Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu. 
3 Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani. 
 

Baada ya kuuwawa kwa Stephano, Mfia dini Mkristo wa kwanza, kanisa lilipata mateso sana. Sauli alitesa sana Wakristo. Sauli alikuwa adui wa Injili, labda alifikiri ni uasi kutoka dini ya Kiyahudi.

Lakini tunamshukuru Mungu habari hakuishia hapo. Yesu Kristo alikutana na Sauli na alimbadilisha. Sauli ambaye alitesa kanisa alibadilishwa kuwa Mtume Paulo. Mtume Paulo alitumika sana kupeleka injili kwa watu wa mataifa na kuanzisha makanisa.

Uombe Mungu ili watesi wa kanisa la leo wabadilishwe pia waamini Injili.