KKKT KIPUNGUNI B
Tabu Nziku akitayarisha kufanya maombi kabla ya kwenda Usharika wa Kipunguni B.
Mchungaji mama Chuwa akiongoza sala kabla ya kwenda Kipunguni B
Wakina mama wakiwa wakiwa nje ya Kanisa tayari kwa safari ya Kipunguni B
Mch. Mama Chuwa akiongoza sala ndani ya basi kabla ya safari ya kipunguni kuanza
Furaha ya umoja Azania Front na Kipunguni B
Parish Worker Fedelia Urasa akisalimiana na wakinamama wenyeji wa tamasha wa usharika wa Kipunguni B
Katibu wa umoja wa wanawake wa Azania Front Mama Msangi akikaribishwa usharika wa Kipunguni B
Mchungaji Kimweri wa Usharika wa kipunguni B akifungua tamasha
Katibu wa Kwanya ya kinamama F.Bgoya akifuatilia tamasha
Kijana mwenye ulemavu wa macho akishiriki katika uimbaji katika tamasha la wanawake lililofanyika Usharika wa Kipunguni B
Kwanya ya kinamama iliyokuwa na waimbaji wawili wenye umri mkubwa zaidi
Kwaya ya KKKT Kigogo wakiimba
kwaya ya Kinyerezi wakiimba
Mch. Mama Chuwa akiongoza uimbaji katika tamasha
Mch. Mama Agness Mangala akitoa salamu za tamasha
Mchungaji Kimweri akimkaribisha mwenyekiti wa kamati ya malezi ya wanawake na watoto jimbo la kati
Parish worker wa Jimbo akisherehesha tamaha
Umati wa kimama waimbaji kutoka sharika mbalimbali za Jimbo la kati walioudhuri tamasha
Wakinamama kutoka usharika wa Ukonga wakiimba
Wakinamama kwaya ya Kipunguni wakiimba
Wakinamama wa Azania front wakishangilia wimbo wa ufufuo katika tamasha
Wakinamama wa Azania wakiendelea kuimba
Wakinamama wa Azania wakifuatilia Tamasha
Wakinamama waimbaji washarika mbalimbali wakisherekea tamasha
Baadhi ya wachungaji walioshiriki tamasha Usharika wa Kipunguni B
(Picha na Habari na Jane Mhina)