Event Date: 
13-09-2014

JUMAMOSI TAREHE 13 SEPTEMBER 2014

seminayawazee05

Juu - Askofu Dr. Alex Malasusa akitoa neno la ufunguzi. Aliyeketi kushoto kwake ni Mch. Helerd Nkini kutoka makao makuu

ya dayosisi ambaye baadae alitoa mada ya utaratibu wa dayosis na mabaraza ya wazee.

.

seminayawazee01

Chaplain Mzinga akitoa neno la shukrani kwa askofu baada ya ufunguzi. Askofu pia alikuwa amefuatana na Msaidizi

wake, Dean Fupe aliyeketi meza kuu mwisho kulia

seminayawazee02

Washiriki wakifuatilia semina kwa makini

seminayawazee04

seminayawazee06

seminayawazee07

Mch. Chuwa naye alikuwepo (mwisho kulia)

seminayawazee09

seminayawazee11

Baadhi ya washiriki wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko

seminayawazee14

Washiriki wakipata viburudisho wakati wa mapumziko

seminayawazee15

seminayawazee16

(Habari na picha zimeandaliwa na Cuthbert Swai.)