Date: 
18-05-2019
Reading: 
Romans 1:18-20

SATURDAY 18TH MAY 2019 MORNING   

                            
Romans 1:18-20  New International Version (NIV)


God’s Wrath Against Sinful Humanity


18 The wrath of God is being revealed from heaven against all the godlessness and wickedness of people, who suppress the truth by their wickedness, 19 since what may be known about God is plain to them, because God has made it plain to them. 20 For since the creation of the world God’s invisible qualities—his eternal power and divine nature—have been clearly seen, being understood from what has been made, so that people are without excuse.

God reveals Himself to us in many ways. From the beginning of time people could look at the beautiful world. The world  which God has made should make us look for the creator.
God then revealed Himself more clearly to the Jewish people through the law and prophets. But we can only truly know God through Jesus Christ. He is God and He is the only way to God the Father.    


JUMAMOSI TAREHE 18 MEI 2019 ASUBUHI                            
Rumi 1:18-20
18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu. 
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. 
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru; 

Kila binadamu anaweza kuona uumbaji wa Mungu jinsi ulivyo mzuri. Dunia na mimea na wanyama inatuonyesha uwezo na mamlaka ya Mungu. Kila mtu akiona uumbaji wa Mungu anahitaji kumtafuta Muumbaji.

Baadaye Mungu alijionyesha zaidi kwa taifa la Wayahudi kupitia Sheria zake na Manabii. Lakini hasa tunamwona Mungu vizuri kupitia Yesu Kristo. Yesu Kristo ni njia pekee kufika kwa Mungu Baba.