Date: 
14-03-2019
Reading: 
Romans 10:8-13 (Warumi 10:8-13)

THURSDAY 14TH MARCH 2019

Romans 10:8-13 New International Version (NIV)

But what does it say? “The word is near you; it is in your mouth and in your heart,”[a] that is, the message concerning faith that we proclaim:If you declare with your mouth, “Jesus is Lord,” and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved. 10 For it is with your heart that you believe and are justified, and it is with your mouth that you profess your faith and are saved. 11 As Scripture says, “Anyone who believes in him will never be put to shame.”[b] 12 For there is no difference between Jew and Gentile—the same Lord is Lord of all and richly blesses all who call on him, 13 for, “Everyone who calls on the name of the Lord will be saved.”[c]

Footnotes:

  1. Romans 10:8 Deut. 30:14
  2. Romans 10:11 Isaiah 28:16 (see Septuagint)
  3. Romans 10:13 Joel 2:32

In the above verses we are assured to be saved if we accept Jesus to be Lord and saviour of our lives. We are also assured that all that believes in him will never be put to shame. What a blessing we have in Jesus! Furthermore he says he came to save all peoples (Verse 12-13) of the whole world regardless of where they come from.

What are you waiting for? Come to Jesus and be saved.

ALHAMISI TAREHE 14 MACHI 2019

Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. 
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. 
10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. 
11 Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. 
12 Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao; 
13 kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. 

Katika mistari hapo juu tunapewa uhakika wa kuokolewa ikiwa tunakubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yetu. Pia tunahakikishiwa kuwa kila mtu anayemwamini kamwe hata aibishwa. Ni neema kubwa toka kwa Yesu! Zaidi ya hayo anasema alikuja kuwaokoa watu wote (Mstari 12-13) wa ulimwengu wote bila kujali wapi wanatoka.

Unasubiri nini? Njoo kwa Yesu upate wokovu.