Date: 
10-12-2019
Reading: 
Revelations 1:9 (Ufunuo 1:9)

MONDAY 10TH DECEMBER 2019  MORNING                                              

Revelation 1:8 New International Version (NIV)

“I am the Alpha and the Omega,” says the Lord God, “who is, and who was, and who is to come, the Almighty.”

God is in absolute control of all things; and this same God has the first and final word in creation.

 May God’s voice be the first and the final one in our lives.

Amen.                                      


JUMATATU TAREHE 10 DESEMBA 2019  ASUBUHI                  UFUNUO 1:8

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.

Mungu ndiye aongozaye vitu vyote; na ndiye mwenye maamuzi ya mwanzo na mwisho juu ya uumbaji wote.

Tunamwomba Mungu awe sauti ya kwanza na ya mwisho maishani mwetu.

AMINA.