09/04/2020: Alhamisi - Ibada mbili

  • Ibada ya Kiingereza: Saa 11:00 jioni
  • Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 usiku

10/04/2020: Ijumaa Kuu - Ibada tatu

  • Ibada ya Kiswahili: Saa 02:00 asubuhi
  • Ibada ya Kiingereza: Saa 04:00 asubuhi
  • Ibada ya Kiswahili + Igizo la Pasaka: Saa 08:00 mchana

12/04/2020: Jumpilli (PASAKA) - Ibada tatu

  • Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 asubuhi
  • Ibada ya Kiingereza: Saa 03:00 asubuhi
  • Ibada ya Kiswahili: Saa 04:30 asubuhi

13/04/2020: Jumatatu ya Pasaka - Ibada moja

  • Ibada ya Kiswahili: Saa 02:00 asubuhi