Date: 
28-05-2020
Reading: 
Psalm 69:13-16 (Zaburi 69:13-16)

THURSDAY 28TH MAY 2020    MORNING                                                            

Psalm 69:13-16 New International Version (NIV)

13 But I pray to you, Lord,
    in the time of your favor;
in your great love, O God,
    answer me with your sure salvation.
14 Rescue me from the mire,
    do not let me sink;
deliver me from those who hate me,
    from the deep waters.
15 Do not let the floodwaters engulf me
    or the depths swallow me up
    or the pit close its mouth over me.

16 Answer me, Lord, out of the goodness of your love;
    in your great mercy turn to me.

In the midst of our distress, we should know that our only source of assistance is God, our creator.

The important part of our prayer is to recognize and praise God’s character, who will not allow the flood of persecution to overwhelm us; and indeed “the pit” will not shut its mouth upon any one who trusts Him.


ALHAMISI TAREHE 28 MEI 2020    ASUBUHI                                     

ZABURI 69:13-16

13 Nami maombi yangu nakuomba Wewe, Bwana, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
14 Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama. Na niponywe nao wanaonichukia, Na katika vilindi vya maji.
15 Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
16 Ee Bwana, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.

Katikati ya mateso na shida, tunahitaji kufahamu kwamba msaada pekee unatoka kwa Mungu, muumbaji wetu.

Jambo muhimu katika sala zetu ni kutambua na kumtukuza Mungu, ambaye tabia yake ni kutulinda na kututunza. Yeye hatayaacha mafuriko ya mateso yatuzidi nguvu; na ‘lile shimo’ halitafungua kinywa chake kummeza hata mmoja miongoni mwao wanaomtumaini Mungu.