Date: 
31-01-2020
Reading: 
Psalm 36:1-10 (Zaburi 36:1-10)

FRIDAY 31ST JANUARY 2020  MORNING                                                         

Psalm 36:1-10 New International Version (NIV)

I have a message from God in my heart
    concerning the sinfulness of the wicked:[b]
There is no fear of God
    before their eyes.

In their own eyes they flatter themselves
    too much to detect or hate their sin.
The words of their mouths are wicked and deceitful;
    they fail to act wisely or do good.
Even on their beds they plot evil;
    they commit themselves to a sinful course
    and do not reject what is wrong.

Your love, Lord, reaches to the heavens,
    your faithfulness to the skies.
Your righteousness is like the highest mountains,
    your justice like the great deep.
    You, Lord, preserve both people and animals.
How priceless is your unfailing love, O God!
    People take refuge in the shadow of your wings.
They feast on the abundance of your house;
    you give them drink from your river of delights.
For with you is the fountain of life;
    in your light we see light.

10 Continue your love to those who know you,
    your righteousness to the upright in heart.

God is most glorified in us when we are most satisfied in Him.  Let us make the first priority of every day to find happiness in Him.


IJUMAA TAREHE 31 JANUARI 2020  ASUBUHI                                         

ZABURI 36:1-10

1 Kuasi kwake yule mwovu hunena moyoni mwake, Hakuna hofu ya Mungu mbele ya macho yake.
Kwa maana hujipendekeza machoni pake Kuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.
Maneno ya kinywa chake ni uovu na hila, Ameacha kuwa na akili na kutenda mema.
Huwaza maovu kitandani pake, Hujiweka katika njia mbaya; ubaya hauchukii.
Ee Bwana, fadhili zako zafika hata mbinguni, Uaminifu wako hata mawinguni.
Haki yako ni kama milima ya Mungu, Hukumu zako ni vilindi vikuu, Ee Bwana, unawaokoa wanadamu na wanyama.
Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha mto wa furaha zako.
Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.
10 Uwadumishie wakujuao fadhili zako, Na wanyofu wa moyo uaminifu wako.

Mungu anatukuzwa zaidi ndani yetu pale tunapokuwa na utoshelevu ndani yake. Kila siku tutafute kuwa na furaha ya Mungu, ili ipate nafasi ya kwanza maishani mwetu.