Date: 
20-03-2017
Reading: 
Psalm 25:1-7, John 9:35-41, Genesis 2:15 (NIV)

SUNDAY 19TH MARCH 2017

THEME: LET US PROTECT THE ENVIRONMENT

Psalm 25:1-7, John 9:35-41, Genesis 2:15

 

Psalm 25[a]

Of David.

In you, Lord my God,
    I put my trust.

I trust in you;
    do not let me be put to shame,
    nor let my enemies triumph over me.
No one who hopes in you
    will ever be put to shame,
but shame will come on those

    who are treacherous without cause.

Show me your ways, Lord,
    teach me your paths.
Guide me in your truth and teach me,
    for you are God my Savior,
    and my hope is in you all day long.
Remember, Lord, your great mercy and love,
    for they are from of old.
Do not remember the sins of my youth
    and my rebellious ways;
according to your love remember me,

    for you, Lord, are good.

Footnotes:

  1. Psalm 25:1 This psalm is an acrostic poem, the verses of which begin with the successive letters of the Hebrew alphabet.

 

John 9:35-41 

Spiritual Blindness

35 Jesus heard that they had thrown him out, and when he found him, he said, “Do you believe in the Son of Man?”

36 “Who is he, sir?” the man asked. “Tell me so that I may believe in him.”

37 Jesus said, “You have now seen him; in fact, he is the one speaking with you.”

38 Then the man said, “Lord, I believe,” and he worshiped him.

39 Jesus said,[a] “For judgment I have come into this world, so that the blind will see and those who see will become blind.”

40 Some Pharisees who were with him heard him say this and asked, “What? Are we blind too?”

41 Jesus said, “If you were blind, you would not be guilty of sin; but now that you claim you can see, your guilt remains.

Footnotes:

  1. John 9:39 Some early manuscripts do not have Then the man said … 39 Jesus said.

 

Genesis 2:15 

15 The Lord God took the man and put him in the Garden of Eden to work it and take care of it.

God made a beautiful world and He made people in His image to rule over and care for the world.  In the beginning the environment was good both spiritually and socially and spiritually. But the first people disobeyed God and sin entered the  World and everything was spoilt.

Jesus is in the process of reversing that decline. Jesus wants to change us Christians so that we can be a blessing in the world and change the environment in every way for the better.  Let us live so as to make the world a better place. 

JUMAPILI TAREHE 19 MACHI 2017

NENO KUU: TUTUNZE MAZINGIRA

Zaburi 25:1-7, Yohana 9:35-41, Mwanzo 2:15

Zaburi 25:1-7

1 Ee Bwana, nakuinulia nafsi yangu, 
2 Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. 
3 Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu. 
4 Ee Bwana, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, 
5 Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha. Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu, Nakungoja Wewe mchana kutwa. 
6 Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani. 
7 Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako. 

Yohana 9:35-41

35 Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu? 
36 Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? 
37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. 
38 Akasema, Naamini, Bwana. Akamsujudia. 
39 Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu. 
40 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwapo pamoja naye wakasikia hayo, wakamwambia, Je! Sisi nasi tu vipofu? 
41 Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa.

Mwanzo 2:15

15 Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. . 

 

Mungu aliumba dunia nzuri sana. Kila kitu kilikuwa chema. Binadamu alipewa wajibu kuitunza na kutawala dunia.

Lakini Adamu na Hawa walimwasi Mungu. Dhambi iliingia duniani na kila kitu kiliharibika.

Yesu anabadilisha mazingira kiroho na kimwili. Yesu anataka sisi Wakristo tubadilike na tubadilishe mazingira, kiroho na kimwili.